Baba yake Martha alivyonitafuna
MWANDISHI : AISHA MAPEPE BABA AKE MARTHA ALIVYONITAFUNA KWENYE GARI (Wakubwa tu: 18+) Naitwa Aisha. Nina umri wa miaka 25. Wengi hunisifia kuwa nimeumbika kwa umbo na sura. Hata kioo huwa kinaniambia hivyo. Wanaume wengi huvutiwa na mimi. Lakini nina udhaifu mmoja... Unaweza kuniita 'Aisha Mapepe' kama waniitavyo wengi. http://pseudepigraphas.blogspot.com/ POKEA MCHAPO SASA Martha ni rafiki yangu wa karibu sana. Ni shoga yangu wa shida na raha.Tulifahamiana tulipokutana chuoni Dar-es-salaam. Bahati nzuri wote ni wakazi wa Morogoro. Tunafanana kwa mwonekano pia. Ana shepu nzuri kama yangu. Ana sura ya kuvutia pia. Ila nahisi nimemzidi. Lakini pia nadhani hatufanani tabia. Na nashukuru sana licha ya ukaribu wetu wala hajui kuwa nina tabia za ajabu. Kwenye hali ya kiuchumi tuna tofauti kubwa. Baba ake Martha ana uwezo kiasi fulani. Ni muajiriwa katika shirika fulani la hifadhi ya jamii. Nyumba wanayoishi mjini Morogoro ni kubwa na nzuri sana. Ukiingia ndani ya fensi utakuta gari